FT | AFL: Mamelodi Sundowns 0 - 0 Petro De Luanda(Agg 2-0) | 24.10.2023. Mamelodi Sundowns watinga nusu fainali

FT | AFL: Mamelodi Sundowns 0 - 0 Petro De Luanda(Agg 2-0) | 24.10.2023. Mamelodi Sundowns watinga nusu fainali

Scars

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2017
Posts
48,055
Reaction score
116,512
Baada ya kushuhudia mechi tamu kutoka kwa Al Ahly akimkaribisha mpinzani wake na mshindani wake wa siku zote Simba

Mechi ambayo imetamatika kwa sare ya bao 1-1 na kumfanya Al Ahly avuke kwenda nusu fainali kwa faida ya bao la ugenini aliyopata kwenye mchezo wa kwanza wa ufunguzi hapa Tanzania.

Majira ya saa 20:00 tutashuhudia burudani nyingine inayowakutanisha Petro De Luanda na Mamelody Sundowns.

Ikumbukwe kuwa Mamelody anafaida ya goli 2-0 aliyopata kwenye 1st leg kule Angola hivyo kibarua chake leo sio kikubwa kwa maana hata sare kwake inambeba.

Ni mechi ya namna gani? Ungana na sisi tutakupa kile kinachojiri uwanjani.

Mechi ni saa 20:00

Lines Up

Mamelod

sundownsfc-20231024-0001.jpg


Petro De Luanda
petro_de_luanda_oficial-20231024-0001.jpg
 
3'

Kadi nyekundu inaenda kwa Mvala mchezaji wa Mamelody
 
Mchezaji mmoja wa Mamelody anatolewa nje kwa matibabu zaidi
 
Petro De Luanda wanafanya makosa ya kizembe hapa

Almanusra wafungwe
 
Mamelodi wapo pungufu lakini wanapiga pira gamondi sio mchezo 🫡
 
Petro De Luanda hawana upinzani wakutosha kufanya mechi iwe nzuri
 
Back
Top Bottom