FT | AFL: Mamelodi Sundowns 0 - 0 Petro De Luanda(Agg 2-0) | 24.10.2023. Mamelodi Sundowns watinga nusu fainali

FT | AFL: Mamelodi Sundowns 0 - 0 Petro De Luanda(Agg 2-0) | 24.10.2023. Mamelodi Sundowns watinga nusu fainali

Hawa ndio kuna watu walitaka mechi yao ndio iwe ya ufunguzi?

Si wamgefanya Wenger asinzie kwa butua butua hii
 
Kuna hii kitu ilinipita jana
Screenshot_20231024-203755.png
 
Mechi ni mbovu sana hii
 
42'

Kona wanaenda kupiga Petro De Luanda
 
43'

Petro De Luanda wanakosa bao baada ya mpira wa kichwa kwenda nje ya lango
 
Mamelodi wamesahau kuwa hiki ndicho kilicho wacost kwenye cafcl dhidi ya wydad last season
 
Jifunze kwenda live.
Uwe unaangalia live score wanavyo pangilia Mechi za live......
 
Back
Top Bottom