FT | AFL: Mamelodi Sundowns 0 - 0 Petro De Luanda(Agg 2-0) | 24.10.2023. Mamelodi Sundowns watinga nusu fainali

Hawa ndio kuna watu walitaka mechi yao ndio iwe ya ufunguzi?

Si wamgefanya Wenger asinzie kwa butua butua hii
 
Hao ndo Mamelodi ninao wafahamu na hii game wanapigwa
Game imepoza mno yani sijui kwasababu muda mchache nimetoka kuangalia mechi kali
 
Reactions: Tui
Mechi ni mbovu sana hii
 
42'

Kona wanaenda kupiga Petro De Luanda
 
43'

Petro De Luanda wanakosa bao baada ya mpira wa kichwa kwenda nje ya lango
 
Mamelodi wana utoto na ufala mwingi sana
 
Mamelodi wamesahau kuwa hiki ndicho kilicho wacost kwenye cafcl dhidi ya wydad last season
 
Jifunze kwenda live.
Uwe unaangalia live score wanavyo pangilia Mechi za live......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…