FT: AFL: Mamelodi Sundowns 1 Vs 0 Al Ahly | Stadium: Loftus Versfeld | 29.10.2023

Zote ni pumba hizo including you
Kama hivyo ni sawa ,uzuri mechi za football bado zinaendelea hapo pumba na mchele zutazidi kujitenga na michuano ya CAF bado ipo hapo aibu tutaziona zaidi msimu huu na tarehe 5 itakuwa episode ya kwanza kwa haya niliyoyaandika..
 
Timu zinazocheza tarehe 5 hazijakutana mwaka huu?
 
Mtu anifahamishe kwann kwenye hii michuano nchi zingine mashabiki uwanjani hawajai ila huku kwetu uwanja unajaa
 
Mpira umehamia tz ni sisi kuamua tutake chance na kugeuza kuwa kituo Cha mpira kusini mwa jangwa la Sahara au tuache Rwanda wachukue nafasi
 
3'

Mchezaji wa Mamelody Mudau amepewa kadi ya njano
 
Back
Top Bottom