FT: AFL: TP Mazembe 1-0 Esperence De Tunis | Stadium: Benjamín Mkapa | 22.10.2023

Mashabiki wa yanga kwa kupenda vya bure, huwezi amini wamekaribia kujaza uwanja hapa
Halafu wakitoka hapo wanakuja hapa kufungua nyuzi za kuyaponda mashindano na timu zinazoshiriki... Sijui wana akili gani hawa
 
Namna gani hapa Tp Mazembe wanakosa nafasi ya wazi
 
Halafu wakitoka hapo wanakuja hapa kufungua nyuzi za kuyaponda mashindano na timu zinazoshiriki... Sijui wana akili gani hawa
Mbona tumefurahia droo yenu hatujawaombea baya mpigwe wala mshinde........ Droo tu mashindano tunaendelea na wengine kwani ipo timu moja
 
Tp Mazembe ni kama wamechoka na wamekubali kumaliza mechi kwa ushindi wa bao moja kwa bila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…