FT: AFL: TP Mazembe 1-0 Esperence De Tunis | Stadium: Benjamín Mkapa | 22.10.2023

Mechi nzuri ya mwisho kwa Mkapa ndio hii.

Kesho njoeni mpoteze muda wenu kuangalia pira gimbi
 
Wachezaji Wa TP Mazembe wamekuja kutushukuru mashabiki zao
 
Hii Tp mazembe ya Sasaiv ni ya Moto sana ikikutana tena na Yanga Aisee Italeta Msiba wa Taifa,

Kuna Winga yao Inacheza Upande wa Kulia Kule inamwaga Moto sio poa
 
Naunga mkono hoja yako.

Pamoja na hayo tuna uhusiano mzuri na DR Congo...
Ni kweli Kuna namna mazembe imejijengea jina hapa tz ila baada ya Leo nadhani mazembe wanaweza opt tz kuwa home ground Yao for ever maana ilikuwa zaidi ya Rubumbashi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…