Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AaahàaaaaaMechi nzuri ya mwisho kwa Mkapa ndio hii.
Kesho njoeni mpoteze muda wenu kuangalia pira gimbi
Uchawi wa Yanga unaua sana vipaji vyaa wachezaji wetu wazawa na wageni wanaochezea timu hiyoDuh ila congo kuna wachezaji wazuri sn not sure Tz tunakwama wapi
Mechi iimeishaje?Tp Mazembe wanatoa shukurani kwa mashabiki waliojitokeza kuwasapoti hapa.
Very Lovely 🤩Tp Mazembe wanatoa shukurani kwa mashabiki waliojitokeza kuwasapoti hapa.
TP Mazembe 1 wao 0Mechi iimeishaje?
Zipo nyingi tu kasoro YangaMbona tumefurahia droo yenu hatujawaombea baya mpigwe wala mshinde........ Droo tu mashindano tunaendelea na wengine kwani ipo timu moja
Kwani lazima iwepo........ Tulikua na tp mazembe kwa leo na wameshinda nyie ahsanteni kwa droo na makabatiZipo nyingi tu kasoro Yanga
[emoji1]Tp Mazembe wanatoa shukurani kwa mashabiki waliojitokeza kuwasapoti hapa.
kwani ilikuwa n bure yanga deiLakini hawakuujaza awanja Yanga day 😁
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] sisi hatunaga kazi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][mention]TANESCO [/mention] mnainamishwa
Watanzania leo wamejua kunifurahisha,Pamoja na yote, nimeshangaa kwanini TP Mazembe ina mashabiki wengi Tanzania kuliko Makolo.
Ni kweli Kuna namna mazembe imejijengea jina hapa tz ila baada ya Leo nadhani mazembe wanaweza opt tz kuwa home ground Yao for ever maana ilikuwa zaidi ya RubumbashiNaunga mkono hoja yako.
Pamoja na hayo tuna uhusiano mzuri na DR Congo...