Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mda huu dk ya sabaInapigwa lini!?
Lengo ni kuujaza. Sold out!kwani ilikuwa n bure yanga dei
wewe simba dei ulijaza aya maokoto ilikuwaje
Kumbe Ihefu ingetoboa AFL !Vibonde wa Yanga wamshinda kwa kishindo.
Mechi Yanga waligeuza yakwao.Watanzania leo wamejua kunifurahisha,
Wamewashangilia Mazembe mwanzo mwisho, TP kajiona yupo home kabisa
Na nyie asanteni kwa kushiriki kutazama, next time mje na mpunga kutoka MbalariKwani lazima iwepo........ Tulikua na tp mazembe kwa leo na wameshinda nyie ahsanteni kwa droo na makabati
Nipo natizama hapaa...Mda huu dk ya saba
HayaLive Leo Kutoka Lupaso
Tulianza na drooo na tutafia kwenye droo ufundi wenu mwisho hapo......... Cheki mziki wa kimataifa side BNa nyie asanteni kwa kushiriki kutazama, next time mje na mpunga kutoka Mbalari