Leo chama kawapoteza utopolo kwenyeudhi mapema sana[emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Roho ya Kichawi
Awezi awezi ondoka,hata Daby iliyopita Onyango angekuepo tusinge chezea goli mbili na yule mtikisa manyonyoNahisi wanasimba wote sasa tukatae onyango kuondoka
Hahaha[emoji23]Agosto wamepata goli la ugenin
Yule mzungu hovyoo kabisaAwezi awezi ondoka,hata Daby iliyopita Onyango angekuepo tusinge chezea goli mbili na yule mtikisa manyonyo
Yan Ile wanaanza kukaa tu chama kawatupia wote wakasepaUtopolo wameshaingia kwenye hedhi!
FT: Cd de Agosto 2-6 Namungo FCLeo chama kawapoteza utopolo kwenyeudhi mapema sana[emoji23]
Nyie ndiyo hamjui mpira..lile goli la tatu unajua assist imetoka wapi? Unatia aibuBoko atoke arudi Kibu D
Wakiwa na kikosi B wachezaji wengn wakiwa na coronaFT: Cd de Agosto 2-6 Namungo FC