FT: Agosto 1-3 Simba | CAF Champions League | Estádio 11 de Novembro | 9-10-22

FT: Agosto 1-3 Simba | CAF Champions League | Estádio 11 de Novembro | 9-10-22

Yanga waje msimbaz tuwape drasa la kimataifa, haliwezkan unataka kushirik mechi za kimataifa halafu unaweka Mambo kigambon halafu unacheza na friend rangers kwelii?? Mdomo mwingi kweli, aziz ufunguo, sijui Joyce Sasa yote ya Nini?

Mpira ni science karibun darasan..
Wana profesa pimbi wa mpira au hujui[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nabi ni profesa sasa aje kwa wajinga hawezi ...wana simba hawa wala si wa kushauri sisi acha tukimbize mwizi kimya kimya wakija kushtuka tumeshachukua kombe la club bingwa africa ndo watajua hawajui.
 
Nipe mwaka kenge wewe habari za sijui mpira za Nini.. inawezekana nimeanza kushabikia kabla hujazaliwa.
Ubabanduliwa wewe siyo bure.
 
Attachments

  • IMG-20221010-WA0002.jpg
    IMG-20221010-WA0002.jpg
    39.4 KB · Views: 5
Wana profesa pimbi wa mpira au hujui[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nabi ni profesa sasa aje kwa wajinga hawezi ...wana simba hawa wala si wa kushauri sisi acha tukimbize mwizi kimya kimya wakija kushtuka tumeshachukua kombe la club bingwa africa ndo watajua hawajui.
Nabi alikuwa anatumia pesa zake nyingi kwenye viingilio kwenye mechi za Simba ambazo walikuwa wanacheza kimataifa

Nikajua pengine anajifunza na kuiga mbinu kumbe anaangalia ku enjoy boli tu
 
Kilichobakia wana utopwizo kuanzisha thread za ku i under rate De Agosto ili mioyo yao itulie
 
Back
Top Bottom