FT: Agosto 1-3 Simba | CAF Champions League | Estádio 11 de Novembro | 9-10-22

Wana profesa pimbi wa mpira au hujui[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nabi ni profesa sasa aje kwa wajinga hawezi ...wana simba hawa wala si wa kushauri sisi acha tukimbize mwizi kimya kimya wakija kushtuka tumeshachukua kombe la club bingwa africa ndo watajua hawajui.
 
Nabi alikuwa anatumia pesa zake nyingi kwenye viingilio kwenye mechi za Simba ambazo walikuwa wanacheza kimataifa

Nikajua pengine anajifunza na kuiga mbinu kumbe anaangalia ku enjoy boli tu
 
Raha tele..hatuna makasiriko
 

Attachments

  • ef5a9aa127f34bec82e6022891eab075.mp4
    2.6 MB
Kilichobakia wana utopwizo kuanzisha thread za ku i under rate De Agosto ili mioyo yao itulie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…