OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Kwahiyo angeshinda Esperance ndio mpira wa Africa ungekuwaje?Esperance ameenda tu kutalii Misri, Kombe la Ahly.
Mechi za Afrika ni za hovyo sana
Kajaziwa viungo wakabajiBora hata nusu fainali angeshinda Mamelodi Sundowns kuliko hawa Esperance
295Msaada dstv wanaonyesha hii match kupitia channel Gani?
Hawaonyeshi.. huko kuna show ya Harmonize