Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Kipindi Cha pili E Tunis watapoteana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora yanga angeshinda kuliko mamelodi na esperance .Bora hata nusu fainali angeshinda Mamelodi Sundowns kuliko hawa Esperance
Bora hata nusu fainali angeshinda Mamelodi Sundowns kuliko hawa Esperance
Ili unielewe lazma uwe na C tanoKwahiyo angeshinda Esperance ndio mpira wa Africa ungekuwaje?
Asia na miundo mbinu Bora waliyo nayo bado ni 2Mashindano ya hovyo sana haya,et fainali inachezwa mechi 2 hovyo hovyo.
Lakini pia yapo biased sn
Hili tukio nilidhani tumeliona wachache. Haya mashindano kubebana ni kwingi sanaBaada ya kutokea kwa yanga imetokea kwa Esperance dakika za lala Salama baada ya kunyimwa na refa haki ya matumuzi ya var baada ya mchezaji wao kufanyiwa madhambi ndani ya penalt box .
Ama kweli ni nafuu marefa wa ndondo cup kuliko marefa wa caf !
Haikuwa penaltyBaada ya kutokea kwa yanga imetokea kwa Esperance dakika za lala Salama baada ya kunyimwa na refa haki ya matumuzi ya var baada ya mchezaji wao kufanyiwa madhambi ndani ya penalt box .
Ama kweli ni nafuu marefa wa ndondo cup kuliko marefa wa caf !
Mpira una matokeo matatu, uto wajiandae kisaikolojiaBora hata nusu fainali angeshinda Mamelodi Sundowns kuliko hawa Esperance
Raha ya mpira watu waingie uwanjani. Ulaya wanaweza fainali 1 sababu kwao mashabiki wana nguvu ya kifedha.Mashindano ya hovyo sana haya,et fainali inachezwa mechi 2 hovyo hovyo.
Lakini pia yapo biased sn
Halafu kulikuwa na vyura humu vinakoroma eti Alhly hamna timu pale imeisha.Fainali ya ligi ya mabingwa 2nd leg inapogwa leo saa mbili kamili usikuView attachment 2999287
Lile tukio mwanzo hata mimi nilifikiri ni penalty lakini waliporudia nikaona vizuri kuwa haikua penalty. Beki alianza na mpira.Baada ya kutokea kwa yanga imetokea kwa Esperance dakika za lala Salama baada ya kunyimwa na refa haki ya matumuzi ya var baada ya mchezaji wao kufanyiwa madhambi ndani ya penalt box .
Ama kweli ni nafuu marefa wa ndondo cup kuliko marefa wa caf !
Kabisa nadhani watu inabidi wajue ni kwanini badala ya kulalamika. Ulaya kwanza usafiri ni rahisi na gharama ni ndogo hawahitaji visa, mipaka iko wazi ni kama unatoka Mwanza unaenda Dar( Mwanza Dar mbali sana) kwao safari fupi na rahisi. Africa vipato vidogo, gharama za kusafiri kubwa sana, malazi gharama kubwa kiujumla uchumi wa mtu mmoja mmoja sio rahisi kuweka budget kushangilia mpira wakati huku masharara hautoshi, shule ada inakusubiri, kodi na Mama anataka kwenda kubalisha nywele.Asia na miundo mbinu Bora waliyo nayo bado ni 2
Ni Ulaya pekee ambapo Wana final Moja tena kwenye neutral ground
Binafsi nadhani team zijipange zaidi ili kushinda hili kombe Ahly hata Ile hali ya mashabiki inakufunga kabla hujafungwa na hawajaingia Bure
Njoo Dar Sasa yanga akikabidhiwa ubingwa uone mashabiki
Al Ahly hata wakiwa wabovu wale ni kama train la Diesel linaanza taratibu likichanganya tu unalikuwa limefika station. wao wameshinda kombe mara saba sasa changanya team za E.A, sijui south yote na central hatufiki hata nusu ya mafanikio yao. Mkubwa ni mkubwa tu ni sawa UEFA hawa Madrid hata wakiwa wabovu ila ujipange..Halafu kulikuwa na vyura humu vinakoroma eti Alhly hamna timu pale imeisha.
Kimsingi hata furaha yenyewe ya kushangilia hatunaKabisa nadhani watu inabidi wajue ni kwanini badala ya kulalamika. Ulaya kwanza usafiri ni rahisi na gharama ni ndogo hawahitaji visa, mipaka iko wazi ni kama unatoka Mwanza unaenda Dar( Mwanza Dar mbali sana) kwao safari fupi na rahisi. Africa vipato vidogo, gharama za kusafiri kubwa sana, malazi gharama kubwa kiujumla uchumi wa mtu mmoja mmoja sio rahisi kuweka budget kushangilia mpira wakati huku masharara hautoshi, shule ada inakusubiri, kodi na Mama anataka kwenda kubalisha nywele.
Kwa ndege ni rahis kwenda Dubai kuliko kwenda Kenya au Uganda sasa tujiulize ni kwanini?
Hakuna Penalty pale ni maamuzi sahihi kabisa alifanya refarii.Hili tukio nilidhani tumeliona wachache. Haya mashindano kubebana ni kwingi sana
Uliangalia AFCON?Hakuna Penalty pale ni maamuzi sahihi kabisa alifanya refarii.
Hivi tukio kama lile ni refa gani anaweza kufunika penalty?
Najua wengi wamechoshwa na Ahly kutawala soka la Africa ila isiwe sababu kulaumu hata vitu ambavyo sio kweli