FT: Al Ahly 2-0 Simba | CAF CL Sec: Leg | Cairo International Stadium | 05/04/2024 (Agg 3-0)

Kamwe haiwezi ikuta ya yanga mzee scar's
Yanga ameingia uwanjani na Yutong

Hiyo tayari ni kukubali kuwa mpinzani amekuzidi uwezo hauna stamina ya kupishana naye.

Lakini angalia hizi stats na hapo Simba yupo away tena kwenye ardhi ngumu ambayo miamba mingi haijawahi kuwa na takwimu hizi
 
Ilibidi tuwe tumepata kamba 1st half hiidah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan leo, ni full kushuhudia manjegeka ya marefa. Woiiiiiih
Marefa wa leo kazi ipo, ila yule aliyetufanyia figisu nimetamani angechezesha kombe la mbuzi, mwisho wa mchezo angepigwa ndoa ya mkeka na wahuni 😂😂😂
 
Angalia shkts on Target mzee
 
Huyu Ayoub Lakred ni kipa mzuri sana, Manula ndio kapoteza namba hivyo.

Moja kati ya eneo ambalo Simba Sc ana utajiri wa vipaji ni eneo la golini, kuanzia kipa wa kwanza hadi wa nne hakuna kiazi.
Bora umesema wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…