FT: Al Ahly 2-0 Simba | CAF CL Sec: Leg | Cairo International Stadium | 05/04/2024 (Agg 3-0)

FT: Al Ahly 2-0 Simba | CAF CL Sec: Leg | Cairo International Stadium | 05/04/2024 (Agg 3-0)

Wa msimbazi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kwa ufala wa refa na Aziz ki na mwenzie Bacca nisipolewa silali udugu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] udugu hujazoea tyuuh?
Mwenzio mwaka jana, tulitolewa na wydad kwa penalt.

Afu chama alikosa, nilitukana matusi km mwendawazimu mpya pale wodi ya milembe.
 
Huu ndio mpira wa daraja la Kidunia ( World class football ⚽)
 
Kipindi cha kwanza kilikuwa Chenu najua kipindi cha pili mtaka moto mtasukimiwa goli 2
 
Hawa Ahly striker wao hatari ni Kahraba huyu Modeste ni mbaya zaidi wa vichwa ila yule Kahraba ndo hua namhofia sana. Na inaonekana Mwalimu hamkubali sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] udugu hujazoea tyuuh?
Mwenzio mwaka jana, tulitolewa na wydad kwa penalt.

Afu chama alikosa, nilitukana matusi km mwendawazimu mpya pale wodi ya milembe.
Mpira unazoeleka udugu?? Nilipumzika kushabikia najijua ni mtu wa kupanic sana 🤣🤣🤣🤣
Tulishawahi kumtandika fimbo refa kombe la mbuzi
 
Yule basi tyuuuu!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila Refa huyu wa sahivi nampa hongera.
Kufungwa mapema mapema, wee kuwezaaa?
 
Mwaka jana Wydad walitutoa kwa matuta tukasema tumetoka kiume wakatucheka sana. Afadhali watoke.. timu zenyewe wanasiasa sasa wanachukua misifa acha zitolewe tu [emoji28]
Walicheka sn sn, kila tulipotoka walicheka ooh hamna kufa kiume. Ss leo kimewaramba yn wanatia huruma sn aisee mana walishaeka kua lzm atinge nusu loh
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan nkamporee chupa, vinginevyoo ni kisangaaa.
🤣🤣🤣🤣 utashangaa na ww ukifika unaunga kupooza machungu, tukija kushtuka kesho mchana
 
Back
Top Bottom