Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Simba anacheza boli tamu kinyamaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] udugu hujazoea tyuuh?Wa msimbazi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kwa ufala wa refa na Aziz ki na mwenzie Bacca nisipolewa silali udugu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nalewa huku najicheka nyie ushabiki huu sio mzuriKamnyang'anye aisee....inasemekana yuko kwenye chupa ya tano...😅😅😅😅😅
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan nkamporee chupa, vinginevyoo ni kisangaaa.Kamnyang'anye aisee....inasemekana yuko kwenye chupa ya tano...[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
sana,no:9 goal score akuna.Simba anacheza boli tamu kinyamaa
Mpira unazoeleka udugu?? Nilipumzika kushabikia najijua ni mtu wa kupanic sana 🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] udugu hujazoea tyuuh?
Mwenzio mwaka jana, tulitolewa na wydad kwa penalt.
Afu chama alikosa, nilitukana matusi km mwendawazimu mpya pale wodi ya milembe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila Refa huyu wa sahivi nampa hongera.Yule basi tyuuuu!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sema hamuwezi mkamshika kwenye kauli yake kwasababu hakufafanua fainali ya tournament ganiKula chuma hikoView attachment 2955019
Na iwe hivyoMakosa hayo wanakuja kuyafanya Al Ahly leo hapo Cairo
unahisi mimi ni shabiki wa yanga😕Kula chuma hikoView attachment 2955019
Walicheka sn sn, kila tulipotoka walicheka ooh hamna kufa kiume. Ss leo kimewaramba yn wanatia huruma sn aisee mana walishaeka kua lzm atinge nusu lohMwaka jana Wydad walitutoa kwa matuta tukasema tumetoka kiume wakatucheka sana. Afadhali watoke.. timu zenyewe wanasiasa sasa wanachukua misifa acha zitolewe tu [emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatarii tupuu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nalewa huku najicheka nyie ushabiki huu sio mzuri
🤣🤣🤣🤣 utashangaa na ww ukifika unaunga kupooza machungu, tukija kushtuka kesho mchana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan nkamporee chupa, vinginevyoo ni kisangaaa.
Muda TayariTutarudi saa 5