FT: Al Ahly 2-0 Simba | CAF CL Sec: Leg | Cairo International Stadium | 05/04/2024 (Agg 3-0)

Bado tuna nafasi ya kuliteka soka la afrika, na yanga naona kabisa wanayo hiyo nafasi, ila kwa sisi simba bado sana aisee
Naamini kama yanga angekuwa anacheza na hawa waarabu lazima mwarabu angekufa
Uzuri ni kwamba, hawa waarabu wamecheza dhidi ya Yanga Sc kwenye msimu huuhuu hivyo hatuwezi kuandikia mate.

Katika hiyo michezo miwili, Yanga Sc ilipata matokeo?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mmetolewaaaaa, hilooooo
 
Cha msingi wote tutoke

Hii ishu ya kwamba Yanga ipite ilikuwa inanikarahisha sana.
Jamaa una roho mbaya kinoma inapokuja ishu ya Yanga 🀣 🀣 🀣
 
Uzuri ni kwamba, hawa waarabu wamecheza dhidi ya Yanga Sc kwenye msimu huuhuu hivyo hatuwezi kuandikia mate.

Katika hiyo michezo miwili, Yanga Sc ilipata matokeo?
Kwani simba alipataga matokeo kwa mamelod
 
Kuna tatizo hawa marefa wa Africa ....wengi ni πŸ—‘οΈ
 
Kuna kitu Timu Yetu haikifanyo. Al ahly wanakifanya na watuzidi...

Kuna utofauti wa sisi tukiwa na mpira na Al Ahly wakiwa na mpira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…