ππWifi naijua hiyo π€£π€£π€£π€£
Tatizo Yanga wana midomo sana lakini hata hivyo leo wamenifurahishaJamaa una roho mbaya kinoma inapokuja ishu ya Yanga π€£ π€£ π€£
Sio 3 ni mbili tu japo haiwezekani hata hizo mbili
π€£π€£π€£π€£ usijali utaisingizia pombeπππ
Na wao wanapunguzia maumivu kule..?? Kuna likolo moja limenitendesha dhambi ya kutukana hadi..!!
πππ€£π€£π€£π€£ usijali utaisingizia pombe
Mimi kuna mmoja niliona ananitafutia ban sema kajiongeza hajanijibu, leo watuache tumevurugwa na mengi!!! Kuna refa, na kuna penati wakae kwa kutulia.
Kwani simba alipataga matokeo kwa mamelodSi
Sisi tukiuopata, tunapoza. Wao wakiumiliki wanaleta taharukiKuna kitu Timu Yetu haikifanyo. Al ahly wanakifanya na watuzidi...
Kuna utofauti wa sisi tukiwa na mpira na Al Ahly wakiwa na mpira.
π€£π€£π€£π€£ Mungu abariki mwakani mwanzoni nilete baby walker πππ
apostle kuna muujiza huku, nini kimetokea..??
Hasara kubwa sana ingekuwa.What a waste...... serikali ingewasafirisha makolo