Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂Wifi naijua hiyo 🤣🤣🤣🤣
Tatizo Yanga wana midomo sana lakini hata hivyo leo wamenifurahishaJamaa una roho mbaya kinoma inapokuja ishu ya Yanga 🤣 🤣 🤣
Sio 3 ni mbili tu japo haiwezekani hata hizo mbili
🤣🤣🤣🤣 usijali utaisingizia pombe😂😂😂
Na wao wanapunguzia maumivu kule..?? Kuna likolo moja limenitendesha dhambi ya kutukana hadi..!!
😂😂🤣🤣🤣🤣 usijali utaisingizia pombe
Mimi kuna mmoja niliona ananitafutia ban sema kajiongeza hajanijibu, leo watuache tumevurugwa na mengi!!! Kuna refa, na kuna penati wakae kwa kutulia.
Kwani simba alipataga matokeo kwa mamelodSi
Sisi tukiuopata, tunapoza. Wao wakiumiliki wanaleta taharukiKuna kitu Timu Yetu haikifanyo. Al ahly wanakifanya na watuzidi...
Kuna utofauti wa sisi tukiwa na mpira na Al Ahly wakiwa na mpira.
🤣🤣🤣🤣 Mungu abariki mwakani mwanzoni nilete baby walker 😜😂😂
apostle kuna muujiza huku, nini kimetokea..??
Hasara kubwa sana ingekuwa.What a waste...... serikali ingewasafirisha makolo