Baba ni baba tuu ata akifa picha utaikuta sebuleni...Kikubwa ni wote tutoke kelele zisiwepo, binafsi sina stress kabisa.
Hii nchi isingekalika hii😁
😂😂🤣🤣🤣🤣 Mungu abariki mwakani mwanzoni nilete baby walker 😜
Tumpe jina Aziz kapombe kukumbukia siku ya leo 😂😂😂
utokaji wetu uko tofauti mkuu, we umekandwa kote yanga kaonewaKikubwa ni wote tutoke kelele zisiwepo, binafsi sina stress kabisa.
Hii nchi isingekalika hii😁
🤣🤣🤣 na sala ya asubuhi unaongoza km sio wewe!!!😂😂
Kesho unajifanya mpooole umeamka na busara unaanza kuomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza..!!
🤣🤣🤣🤣🤣Refa maliza mpiraa, watu tunakaa mbali.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nini kudroo huku na kule ? Simba ilishawahi kufanya hivi 1-0 Home na Away 0-1MAKOLOoooooooooooooooooo
Ni aibu Kwa taifa