DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Simba wanachapa Mpira mzeeDk ya 26,
0-0
Hana uwezo huyo. Alishapigwa moja ikawa Offside.😂😂😂😂 nipo live, bora mtani afunge atinge semi..
Tulishachapwa kimoko, refa kasema offside,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nipo live, bora mtani afunge atinge semi..
Mkuu, leo yanahitajika magoli.Yanga Chukueni Notice hapa angalia Possesion na Pass
Tumeposses Kwa mkapa na Tunaposses Cairo pia angalieni na Pass accuracy
View attachment 2954981
Najua lakini waarabu wa*** Sana wameanza kumkanyaga miguu Chama unafikiri kuna niniMkuu, leo yanahitajika magoli.
Wasimvunje tu.Najua lakini waarabu wa*** Sana wameanza kumkanyaga miguu Chama unafikiri kuna nini