FT: Al Ahly 2-0 Simba | CAF CL Sec: Leg | Cairo International Stadium | 05/04/2024 (Agg 3-0)

FT: Al Ahly 2-0 Simba | CAF CL Sec: Leg | Cairo International Stadium | 05/04/2024 (Agg 3-0)

Wanataka kujitofautisha na sisi kuwa wao wametolewa wakiwa wamepambana.

Lakini imesaidia nini zaidi ya kusumbua mahakama tu?

Sisi tulikuwa na situation kama hiyo msimu uliopita dhidi ya Wydad lakini wao wakatudhihaki kuwa "wafa kiume"

Sasa leo wanashindwa watumie maneno gani sahihi kama mbadala ili kujifariji na isilete tafsiri ambayo sisi tutaitumia kuwarudishia dhihaka zao.
Ila bora wametoka tu. Sasa hv wangekuwa wamejaa humu. Hali ingekuwa mbaya mno.
 
Inonga anafanya upumbabu gani hapo?

Duuh Ayoub ni kipaaa aseee
 
Back
Top Bottom