Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
π€£π€£π€£π€£ huo wako bana..!!!!ππ
Ameeen, Ameeen,
Pokea muujiza wako sasa..!!
Usiniangushe nataka kuitwa aunt mie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
π€£π€£π€£π€£ huo wako bana..!!!!ππ
Ameeen, Ameeen,
Pokea muujiza wako sasa..!!
πππ€£π€£π€£ na sala ya asubuhi unaongoza km sio wewe!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] udugu toka kwenye kiti, tuwahi kupata seat, kusimama siwezi mie.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
π€£π€£π€£π€£π€£ mtangazaji jau kweliMtangazaji huyu wa Azam yupo serious kweli? Eti Simba wana dakika 6 za kuitetea Tanzania [emoji23]
π€£π€£π€£π€£π€£ tunapanda boda mshikaki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] udugu toka kwenye kiti, tuwahi kupata seat, kusimama siwezi mie.
πππ€£π€£π€£π€£ huo wako bana..!!!!
Usiniangushe nataka kuitwa aunt mie
Leo umeonja mvinyo mwekundu wewe si bure. Si kwa kuchachuka huku wallahi. Maki Alfo leo kazi anayo! ππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈπππ
Na wao wanapunguzia maumivu kule..?? Kuna likolo moja limenitendesha dhambi ya kutukana hadi..!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au tutakodi bajaji?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tunapanda boda mshikaki
Kwahiyo nyinyi mmetoka huku mkiingia nusu fainali?utokaji wetu uko tofauti mkuu, we umekandwa kote yanga kaonewa