FT | Al Ahly SC 1-0 Al Hilal Omdurman | Robo Fainali CAF CL | Cairo International Stadium | 01.04.2025

FT | Al Ahly SC 1-0 Al Hilal Omdurman | Robo Fainali CAF CL | Cairo International Stadium | 01.04.2025

Maji ya Ziwa Victoria yanasafiri maelfu ya kilomita kwenda kumwagilia hivi viwanja vyote vya Misri hadi vinapendeza hivi. Sisi tumeshindwa kuwa na uwanja hata mmoja wa maana pale pale kanda ya ziwa.
 
Pirate kashinda ila sijaona lile soka alilopigiwa al ahly kule south,inaonekana hawa Mc alger ni wagumu maana nilitegemea wapigwe hata tatu ila wamelambwa kamoja tu,
Yanga ilikuwa ni halali kushindwa kumfunga Mc alger jamaa wanapambana sana
 
Kwa orlando ndo mwisho wao hawawezi fuzu dhidi ya orlando
 
Pirate kashinda ila sijaona lile soka alilopigiwa al ahly kule south

Jana Orlando alikuwa ugenini, ngoja warudi South halafu ndio uje uandike tena comment yako baada ya kuona mpira watakaochezewa MC Alger kule South unafanana na wa Al Ahly au umepunguzwa au umezidi.
 
Back
Top Bottom