DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Mechi ina kasi, vipaji na ufundi kwa kila upande.Game ya mc alger kali sanaa
Kwa orlando ndo mwisho wao hawawezi fuzu dhidi ya orlandoPirate kashinda ila sijaona lile soka alilopigiwa al ahly kule south,inaonekana hawa Mc alger ni wagumu maana nilitegemea wapigwe hata tatu ila wamelambwa kamoja tu,
Yanga ilikuwa ni halali kushindwa kumfunga Mc alger jamaa wanapambana sana
Pirate kashinda ila sijaona lile soka alilopigiwa al ahly kule south