FT: Al-Hilal 1-0 Yanga (Agg 2-1), Yanga yaondolewa Ligi ya Mabingwa Afrika

Tuliwaambia acheni kuhonga marefa wekezeni uwanjani CAF hakuna hiyo michezo hamkusikia ona sasa mmelitia aibu taifa. Toka mwaka 1998 mtoto anazaliwa hadi anamaliza chuo kikuu hajaiona yanga makundi club bingwa
Mechi ya Jana tarehe 16/10/2023 imeonyesha jinsi Al Hilal ilivyo bebwa na Bahasha, Ni aibu Kwa refa aliyeteuliwa kwenye Marefa wanao tarajiwa kuchezesha kombe la Dunia kuchezesha Kwa kiwango kile.
Inafikia hatua mbaka refa unakua Nyota wa mchezo!!! Africa njaa inua mpira[emoji1][emoji1]
 
Mbaka[emoji735]

Mpaka[emoji736]
 
Unafikiri wao hawakuumia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuliwaambia acheni kuhonga marefa wekezeni uwanjani CAF hakuna hiyo michezo hamkusikia ona sasa mmelitia aibu taifa. Toka mwaka 1998 mtoto anazaliwa hadi anamaliza chuo kikuu hajaiona yanga makundi club bingwa
Toka tuanze Karne ya 21 hawajawahi ingia makundi[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
The same kwenu mkiwa NBC primier league
 
Toka tuanze Karne ya 21 hawajawahi ingia makundi[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Aliye ingia Makundi amerudi na kikombe gani, maana kama unaingia Makundi Kwa Kubebwa na hakuna kikombe unachopata ni hasara.
Kama mtazamo ni kuingia Makundi haijalishi unatumia njia gani basi inakosa maana zaidi ya fedheha Kwa mashabiki.
 
Mbaka[emoji735]

Mpaka[emoji736]

Nyota wa mchezo kwa sababu alichezesha vizuri! Unataka kuniambia tangu muingie makundi kwa mara ya mwisho 1998 (miaka 24 iliyopita) ni marefa wanasababidha miaka yote hii 24 hamuingii kwenye makundi? Jifunzeni kwa Simba, lazima kuna kitu hakijawakaa sawasawa! Wekundu wa Msimbazi na wawe jibu kwenu!
 
na nabi kibarua chake ndio kitakwisha.
 
Aliye ingia Makundi amerudi na kikombe gani, maana kama unaingia Makundi Kwa Kubebwa na hakuna kikombe unachopata ni hasara.
Kama mtazamo ni kuingia Makundi haijalishi unatumia njia gani basi inakosa maana zaidi ya fedheha Kwa mashabiki.
Kubebwa vipi mzee
 
Malengo yenu mwaka huu yalikua ni yapi?
 
Aliye ingia Makundi amerudi na kikombe gani, maana kama unaingia Makundi Kwa Kubebwa na hakuna kikombe unachopata ni hasara.
Kama mtazamo ni kuingia Makundi haijalishi unatumia njia gani basi inakosa maana zaidi ya fedheha Kwa mashabiki.
huna akili, simba jana tumeingia makundi tunalamba bilioni 1.4 nyiee utopolo mnalamba midomo tuu,, jinga kabsa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…