FT: Al Hilal 3 - 1 ES Tunis | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 01.12.2023

Tumejitahidi sana kufika.
Wasudani watakuwa wamefurahi kuichagua Dar es Salaam
 
Bado kuna taarifa kuwa Walinzi wanawazuia watu kuingia kwa Madai kuwa Uwanja umefikisha Idadi ya Watazamaji Al Hilal waliyoomba.

Hii inaleta ukakasi kidogo.

Najaribu kwenda kuona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…