FT: Al Hilal 3 - 1 ES Tunis | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 01.12.2023

FT: Al Hilal 3 - 1 ES Tunis | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 01.12.2023

Ukuta Wa Al Hilal unaruhusu mashambulizi .

inatokea faulu nje kidogo ya 18'
 
Faulu sasa Inapigwa kuelekea Al Hilal eneo la hatari kidogo
 
Bado mpira unachezwa kwenye eneo la Al Hilal
 
Anything can happen
 
Faulu nyingine kuelekea Al Hilal
 
Al hilal wameanza kuonana kidogo ila wanapoteza tena mpira hapa
 
Kuna kikundi cha Wasudani wanajitahidi sana kushangilia
 
Bado Matokeo ni 2 - 0
 
Es Tunis Wanapata Goli hapa
 
Mfumo wa Al Hilal umebadilika sana.
Wanaruhusu mashambulizi ya mara kwa mara.

Kiungo yao na Winga imechoka.
 
Kuna namba 10 yao moja iko hoi
 
Mpira ulikuwa umesimama kidogo kuna mchezaji wa Al Hilal alipata majeruhi
 
Al Hilal 2 - 1 Es Tunis
 
Refa kuna tukio amezingua hapa.

Ana swaga za Arag...a
 
Back
Top Bottom