FT: Al Hilal 3 - 1 ES Tunis | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 01.12.2023

FT: Al Hilal 3 - 1 ES Tunis | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 01.12.2023

Es Tunis Wanakosa goli la wazi kabisa hapa.
Inapigwa free header inatoka nje
 
Dakika za Nyongeza Ni 5
 
Bado Dakika chache mechi hii ikamilike hapa Taifa
 
Kuna kila sababu Uongozi wa Simba ufanye mazungumzo na huyu Goli kipa wa Al Hilal kwa Ile nafasi ya Manula
 
Hii tabia ni njema Sana, ikiendelea tutapata watalii wengi wankimichezo " sports tourism"
 
Zimekuwa Dakika 90' za burudani sana Hapa Taifa
 
Back
Top Bottom