Kuna Hali iliyojitokeza pale Uwanjani ilikuwa ya hovyo sana.
Kuna wachache walitaka kuharibu hali ya hewa kwa kufunga geti kwa madai walioingia wametosha.
Hii Video ni baada ya watu kupiga kelele nyingi za kuhitaji kuingia na Walivyoona hivyo ikabidi wafungue.
Sababu za kufunga geti ni za kijinga sana.