Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
ZBC wanaonesha live mbona!Naombeni link
jamaa anacheza league daraja la nne englandHuyu dogo namba 2 mgongoni ni mtu aiseeh [emoji1787]
Swala ni kocha. Kitambo tunapiga kelele. Umeona Yanga ya nabi na Yanga ya Gamondi?Tunaenda kufanya nini huko mbele??!! Tutoke tu..hakuna mpira wa kubahatisha duniani ni lazima uwekeze.
Hii ImeendaNgoma yetuu hii
Kua mzalendo tupo vzrHii mechi macho ya bundi ngoja nipumzike nsiuchoshe mwili mie