FT: Algeria 0-0 Tanzania | AFCON Qualifier | Tanzania yafuzu AFCON

FT: Algeria 0-0 Tanzania | AFCON Qualifier | Tanzania yafuzu AFCON

Hawa mashabiki wa Algeria walivyofurika uwanjani unaweza kudhani wao leo ndio wanatafuta nafasi ya kufuzu.

Kweli hawa ni watu wa mpira.
 
Sasa mnataka mfuzu mkafanye nn huko cote'd voire
 
Msituchoke tusio na TV jaman. Updates ziendelee.
 
hawa taifa bora washambulie tu hivi hivi ila wasishinde wakishinda tu hata moja tumekwishaaa tutakula mvua [emoji16][emoji16]
 
Jamaa wanacheza Tu kama wanatuachia Ila wakikaza sijui itakuaje [emoji28]
 
Ila waarabu wanapenda soka, yaani nchi imeshafuzu lakini kiwanja kimetapika mbaya
 
Back
Top Bottom