FT: Argentina 3-2 Cape Verde | World Cup 2026 | Hard Rock Stadium | 4 Julai, 2026 | 7:00 Usiku

FT: Argentina 3-2 Cape Verde | World Cup 2026 | Hard Rock Stadium | 4 Julai, 2026 | 7:00 Usiku

Yaani changamoto Inakuja pale unapofunga goli halafu ukaanza kuruhusu mpinzani aanze kutawala mchezo, nilichokiona Argentina ukiwapa presha mwanzo mwisho hasa kuanzia eneo la Kati kwenda Pembeni basi utapata Magoli, sometimes unaona kuna disjoint Katikati kweupe Sana wanakuwa exposed.
 
Argentina wanakutana na timu mbovu. Ukiacha uwezo binafsi wa wachezaji, Argentina ni timu mbovu msimu huu.
 
Kwenye mkeka wa FIFA Argentina ni ya 1 na Cabo Verde ni ya 67! Ndio maana pamoja na kushinda Argcntina hawana furaha kivile. Ni sawa na ndondi heavy weight akamtoa feather weight kwa point badala ya knock out!
 
Mimi ni shabiki wa Argentina, lakini sijapendezwa sana na game ya leo. Timu inafungika kirahisi sana. Wajitathmini.
Ni kweli, wakikutana na timu kama Ufaransa huko mbele ya safari ni majanga matupu kwa Argentina. Ila 26 bora watapita kirahisi mbele ya Misri!
 
Kitu ambacho wengi hawakijui ni kwamba mpira unabadilika kulingana na timu unayocheza nayo. Argentina hii iliyocheza na Cape Verde siku ikicheza na Ufaransa, Uingereza au Spain itakuwa ni a different ball game.

The players will approach the game with a completely different mentality.

The Argentines in their match against Cape Verde they were playing with the side they knew nothing about and whom they have never met before.

However when playing against the French, English or the Spanish it won't be an awkward experience to them because those are the rivals they have been meeting regularly in such big tournaments and they know what it takes to subdue them.
 
Back
Top Bottom