Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Leo katika dimba la Wembley inapigwa fainali ya Kombe la Carabao.
Arsenal (The Gunners) dhidi ya Manchester City (The Citizens).
Arsenal mara ya mwisho kubeba Kombe ilikuwa msimu wa 2019/2020 hivyo wana miaka sita bila Kombe.
Je, leo watatwaa Kombe hili ama tabu kuendelea?
Mchezo huu utachezwa kuanzia saa 1:30 usiku
Insights:
Arsenal
Wachezaji hao wamethibitishwa kuwa nje ya mchezo kabla ya fainali ya Carabao Cup.
Kikosi cha Arsenal:
Kepa; Ben White, Saliba, Gabriel Magalhães, Hincapié; Zubimendi, Rice, Havertz; Saka, Trossard, Gyökeres.
Kikosi cha Man City:
Trafford; Aké, Khusanov, Nunes, Nico O’Reilly; Rodri, Bernardo; Cherki, Doku, Semenyo; Haaland.
60' Goal - Nico O'Reilly
64' Goal - Nico O'Reilly

- Arteta hajawahi kupoteza Wembley akiwa na Arsenal kama mchezaji au kocha (Ameshinda 5, Sare 3).
- Arsenal hawajapoteza katika mechi zao sita zilizopita dhidi ya City; wameshinda mbili na kutoka sare nne.
- Arsenal wamepoteza fainali za EFL Cup kuliko timu nyingine yoyote, wakiwa na vipigo sita.
- Guardiola aliwaita Arsenal “timu bora zaidi England na Ulaya” kabla ya fainali hii.
- City wameshinda fainali zao saba zilizopita za EFL Cup; mara ya mwisho kupoteza ilikuwa dhidi ya Wolves mwaka 1974.
- City wameshinda mechi zao nne zilizopita za EFL Cup dhidi ya Arsenal kwa jumla ya mabao 11-1.
- Haaland hajawahi kufunga katika mechi sita alizocheza Wembley akiwa City, licha ya kufunga katika mechi zake tatu zilizopita dhidi ya Arsenal.
- City wamepoteza fainali zao mbili zilizopita kubwa, mwaka 2024 na 2025 zote zikiwa za FA Cup.