FT: Arsenal 1 - 0 Atletico Madrid | UEFA Semi Final 2nd Leg | Emirates Stadium | 5 Mei 2026

FT: Arsenal 1 - 0 Atletico Madrid | UEFA Semi Final 2nd Leg | Emirates Stadium | 5 Mei 2026

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
UEFA.png

Atlético Madrid wanatarajiwa kuwa wageni wa Arsenal katika uwanja wa Emirates, kwenye mkondo wa pili wa nusu fainali ya UEFA Champions League, mchezo utakaopigwa saa nne usiku kwa saa za Afrika Mashariki.

Nusu fainali ya kwanza iliyofanyika katika uwanja wa Metropolitano jijini Madrid ilimalizika kwa sare ya 1-1, ambapo Viktor Gyökeres aliitanguliza Arsenal kabla ya Julián Álvarez kuisawazishia Atlético Madrid.

Mshindi wa jumla katika mkondo huu atasonga fainali kukutana na mshindi kati ya Paris Saint-Germain na Bayern Munich, katika fainali itakayopigwa Jumamosi, Mei 30, 2026, kwenye uwanja wa Puskás Aréna, Budapest, Hungary.
 
Arsenal waoga sana na hawajiamini, wanaogopa kukomenti hata kwenye huu uzi.
Kiutani utani hawa jamaa kwa kibeba hizi mbili ,sijui tutaweka wapi sura zetu😅
 
Back
Top Bottom