Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Kiutani utani hawa jamaa kwa kibeba hizi mbili ,sijui tutaweka wapi sura zetu😅Arsenal waoga sana na hawajiamini, wanaogopa kukomenti hata kwenye huu uzi.
Baada ya kufuzu kwenda final tutakuja kuwajazia saverArsenal waoga sana na hawajiamini, wanaogopa kukomenti hata kwenye huu uzi.
Ona huyuArsenal waoga sana na hawajiamini, wanaogopa kukomenti hata kwenye huu uzi.
SawaNipo na ATM mpaka fainali
Me nishaulizia bei 😁Huu mwaka jezi ya Fly Emirates kila mtu atajifanya anayo.
Mbona kinyonge mkuu,Sawa
Safari yenu inaisha leo. Arsenal bingwa.Mbona kinyonge mkuu,
Matyako yako nguruwe pori 😂