FT: Arsenal 1 - 0 Atletico Madrid | UEFA Semi Final 2nd Leg | Emirates Stadium | 5 Mei 2026

Sasa wazee hata kama hushabikii Arsenal, Atletico Kwa uchezaji ule angefanya nini fainali?, timu ina kocha mzoefu lakini wachezaji na kocha wao kama wa ndondo Bana, ni Bora Arsenal kuna kitu wanakionesha unaona...Leo sasa ndo utaona Mpira wa end to end, Kila mmoja afungue maana Jana ni wazee wa kukaba but Leo hakuna breki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…