FT: AS Real Bamako 1-1 Young Africans | CAF Confederation Cup | Stade Modibo Keita | 26.02.2023

Refa maliza mpira turudi nyumbani wengine tunakaa mbali 😁

Kuna shabiki kindaki ndaki shabiki wa Bamako sijamuona hapa Kalpana hata kama unafatilia mpira usiuchune hivo
Yaniii njoo inbobo nikwambie kilichonikuta mpk sikuwepo humu.. πŸ˜„ πŸ˜„ πŸ˜„ πŸ˜„ πŸ˜„
Ila sio mbaya pointi Moya ...
 
Wewe kumbe upo siku hizi sikuoni kwenye jukwaa ya michezo au ulikuwa Ethiopia unafuailia jezi zenu za Vunjabei.

Wewe kama hutofuzu ni wewe ila kwetu kufuzu ni lazima nipo vizuri kazi kwenu na babu yenu Onyango mwenye miaka 29,halafu unategemea mfuzu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa usilie jaman shost, futa kwanza chozi, sisi robooo ni lazimaaa hili halina mjadalaaaa.

Afu tushazoea kuingia Robooo yaan km tunaingia kambini kwetu vileee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

CAF wenyewe wanajua hilo.
 
Wewe bana unawauzi wababa wa watu wenye ndevu zao na vitambi yani madaktari kabisa wa falusafwa unawaita Shost uwiiiiiii
 
Watafuta sare unawajua usinichoshe mie [emoji16][emoji172][emoji169][emoji3577]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sema nikusindikizee shughurini mwayaa, kijora chako cha chui chui kisicho na mtandio.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eveee bhanaaaaa. Uwiiiiiiiiih
 
Wewe bana unawauzi wababa wa watu wenye ndevu zao na vitambi yani madaktari kabisa wa falusafwa unawaita Shost uwiiiiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee dear usinichekesheeeee, now nahamia jukwaaa LA sports nichachue utopolooo hadi akili iwakae sawaaaa. Woiiiiiiih
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa usilie jaman shost, futa kwanza chozi, sisi robooo ni lazimaaa hili halina mjadalaaaa.

Afu tushazoea kuingia Robooo yaan km tunaingia kambini kwetu vileee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

CAF wenyewe wanajua hilo.
Sawa husipotee uzuri tupo humu sio unafungwa huonekani.Nakumbuka mara ya mwisho kuongea na ww ni mechi ya ngao ya hisani.

Tusikimbiane huu ni mpira tuu.
 
Huyo sio mchambuzi ni Uto lia lia pengine kuliko hata wewe

Halafu uskikariri kuwa yeyote anayeiongelea timu yako negative lazima awe mchambuzi au shabiki wa timu tofauti na yako
View attachment 2531124
Eti pwngine kuliko hata wewe🀣🀣inamana wewe umepima ulia lia wangu na wake uyo kisa tu amevua shati na ukaona uyo ndo zaidi ili tu ujustify ile screenshot yako. Sasa sikiliza nikwambie namjua uyo Nash mcee maana ni wa kitaani kwetu Temeke na mara nyingi nilikuwa nacheza nae mpira hapa Temeke kata 14 uwanja wa shule ya msingi madenge, na katika video zake nyingi nipo. Point yangu hapa sio kujimwambafai bali kukuonyesha ushabiki haupimwi unachotakiwa ni kuwa mwanachama active
 
Mwanzo ulimtambua kama mchambuzi ndio maana nikakuambia ni shabiki wa Uto kwa reference ya clip yake akiwa uwanjani
 
Ile comment niliyotoa ilikuwa general kuwahusu wachambuzi wenu waliokushikeni akili, wasiojua game plan ya timu wao kazi yao kuropoka ndo mana nikasema walizibwa mdomo katika mechi ya Club Africaine na Yanga maana walijua Yanga haitoenda makundi baada ya kutoa draw nyumbani, sio kumuhusu Nash mcee mtoto wa kitaani kwetu Temeke
 
Bado una mawazo ya kizamani sana ya kuanza kuwadis wachambuzi

Kwenye ishu ya Club Africain waliokuwa wakwanza kukata tamaa na kulaumu walikuwa ni mashabiki walio hudhuria mechi pale kwa Mkapa.

Hao wachambuzi walitabiri kupoteza kwa Yanga kulingana na kiwango walichokiona hapa kwa Mkapa na wakiiona Yanga inaweza kupoteza mechi away iwapo watacheza kwa kiwango walichocheza hapa nyumbani

Sio wachambuzi sio mashabiki, walio wengi hawakutegemea kuona Yanga inaweza ikapata matokeo kwenye mechi ile hata wewe unaweza ukawa ni mmoja wao ambao hawakuwa na tumaini siku hiyo.
 
Back
Top Bottom