FT: ASEC Mimosas 3-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Stade de L' amitie General

Jumlisha na zile penalty mbili halafu wao huku tatu kwa goli walipata
Simba 0
Wao 3+ 2 penalties
Hesabu za wapi hizi?

Afu kuna jambo nimegundua, sometimes unajichanganya kwenye hesabu zako halafu lawana unampa dogo na kumsingizia kakuibia hela
 
Hesabu za wapi hizi?

Afu kuna jambo nimegundua, sometimes unajichanganya kwenye hesabu zako halafu lawana unampa dogo na kumsingizia kakuibia hela
Gooooal
Onyango anajifunga hapa..
 
Wote mnaoshadadia Simba kafungwa goli 3 away ni mazwazwa sana, kwani sisi hatukuwafunga goli 3 taifa??? Kwahyo sisi kufungwa 3 away ndio habari?? Mbona tulipowapiga 3 hapa taifa mlisema ni wabovu??
Ilikuwa ni nguvu ya uchawi na kupulizia madawa vyumbani.
 
Hata tembo akonde vipi hawezi lingana na panya, vile vile na kwa bocco hata achoke vipi hawezi kuchezea utopolo
Duh yaani bocco aende utopolo ili akacheze namba ya nani? Labda akawe muokota mipira muda wa mazoezi na dobi wa jezi kule Avic Town
 
Hawa wanafungika kiubua tu sioninsababu ya simba kuwapa heshima ya namna hii
Etieee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa hapo uajabu uko wapi?

Mkuu au soka umeanza kufatilia jana?

Huyu hapa ni barcelona akiwa nyumbani


Hapa ni liver kwenye meci ya marudiano akiwa nyumbani



Hayo yote hujaona ajabu?

Hapa nako uliweza kuwalaumua ASEC na kuona maajabu?


Ila maajabu ukaja kuyaonea hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…