FT: ASEC Mimosas 3-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Stade de L' amitie General

FT: ASEC Mimosas 3-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Stade de L' amitie General

Basi simba kashinda
Eeh gooooal onyango anajifunga hapa
Mimosas 6
Simba 0
Kwa hiyo mategemeo yako wewe hii michuano Simba ulimtegemea atashinda kote?

Simba mechi ya leo nilijua tu ataenda kupoteza lakini mpaka saizi naweza sema mwenye mashaka zaidi ni huyo aliyeshinda, kwasababu huko ugenini anaenda kukutana na maji ya shingo wakati simba mambo ni smootly
 
Watu wa Yanga huu uzi hauwahusu. Mtuache tumtafutie slogan ya kumuua USGN
 
Makolos nasikia mmegongwa na chupa yenye mkojo kichwani.. nasikia pwaaaaaah, Makolo wangu jamani
 
Sasa sijui unachojivunia nini hapo maana Ingekuwa ndo robo fainali kwa matokeo hayo mngesbatoka
Tunafunga mziki kulingana na ukubwa wa shughuli

Unafikiri robo fainali tungecheza hivyo?
 
Hiki kidada cha ZBC si ndio kilisema lile goli la sakho ni offside?
Nakumbuka alisema goli la Berkane ni halali japo aliomba replay aangalie vizuri. Sikumsikia kulikataa goli la Sakho
 
Back
Top Bottom