SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Hawa Ihefu si ndiyo waliwamanua nyie vyura au siyo hawa?Yaani kuwafunga Ihefu amekuwa Jini [emoji1787]........ yaani kiungo hicho namna hiyo kinavyopoteza mipira kirahisi kama watoto wa Sekondari?
Jini Otoman BalekeNasikia Jini ana hatrick
Fools have their rooms closed!
Simba haina shughuli ndogo kibonde akijichanganya anabonyezwa kizenjiSimba ikiipatia timu basi huwa inanynyasa sana. Ukiona imepata bao moja tu au imetoka droo au kufungwa basi ujue iliemewa sana kwa sababu ikipata mwanya tu basi ni bao tano hadi saba.
Wote wanaotana tu ...ππWaidadi itakua waimama....
Hapo wanaiota Simba na usiku kucha
Ngoja tuone tarehe 16 kuna jamaa aweza kuelemewaSimba ikiipatia timu basi huwa inanynyasa sana. Ukiona imepata bao moja tu au imetoka droo au kufungwa basi ujue iliemewa sana kwa sababu ikipata mwanya tu basi ni bao tano hadi saba.
Ambae hajafungwa na aseme sasaSimba haina shughuli ndogo kibonde akijichanganya anabonyezwa kizenji View attachment 2580174
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Siyo jini ni afadhali umfananishe na malaika! Na umtakie awe mtakatifu na awe na nguvu kama malaika!! Jini ameshindwa kwa Jina la Yesu!!Jini Otoman Baleke
Aliyewatoboa tumemtoboatoboaMsimalize hela leo ili mje muwahonge na azam