FT| ASFC: Simba SC 5-1 Ihefu SC | Azam Complex Stadium | Aprili 7, 2023

FT| ASFC: Simba SC 5-1 Ihefu SC | Azam Complex Stadium | Aprili 7, 2023

Simba ikiipatia timu basi huwa inanynyasa sana. Ukiona imepata bao moja tu au imetoka droo au kufungwa basi ujue iliemewa sana kwa sababu ikipata mwanya tu basi ni bao tano hadi saba.
Simba haina shughuli ndogo kibonde akijichanganya anabonyezwa kizenji
JamiiForums-1474967842.jpg

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Waidadi itakua waimama....
Hapo wanaiota Simba na usiku kucha
Wote wanaotana tu ...😂😂

😂...hawa waarabu wamefungwa goli moja tu kwenye michezo yao ya makundi....sio wepesi.
 
Simba ikiipatia timu basi huwa inanynyasa sana. Ukiona imepata bao moja tu au imetoka droo au kufungwa basi ujue iliemewa sana kwa sababu ikipata mwanya tu basi ni bao tano hadi saba.
Ngoja tuone tarehe 16 kuna jamaa aweza kuelemewa
 
Back
Top Bottom