FT| ASFC: Simba SC 5-1 Ihefu SC | Azam Complex Stadium | Aprili 7, 2023

FT| ASFC: Simba SC 5-1 Ihefu SC | Azam Complex Stadium | Aprili 7, 2023

Simba haiogopagi mechi, imeshacheza mechi nyingi zenye tension kubwa kubwa. Cha ajabu mashabiki wa Yanga ndio wanaogopa mechi za Simba kwa niaba ya mashabiki wa Simba 😁
Kule wenye akili wawili tu
 
Sa ulitaka Simba wafanyeje? Watoe kitu nje? Acha ushamba na wivu wa kidemu we utopolo. Subiri zam yenu mfanye hayo mnayotaka yafanyike
Umejua mpira baada ya kuolewa na mwanaume anaependa mpira siwezi kuendelea kubishana na ww tena kaandae chakula
 
Chuma ya 4
Kuna kitu nakikumbuka hapa

1680885726672.png
 
Back
Top Bottom