FT| ASFC: Simba SC 5-1 Ihefu SC | Azam Complex Stadium | Aprili 7, 2023

Uko sahihi kabisa. Ingekuwa ndiyo Yanga wamebebwa kiasi hiki; muda huu zingetawala kelele za bahasha.

Ila kwa sababu ni wao, watajifanya hawajaona kilichotokea.
Basi Mkuu Hilo GOLI unalosema La Kubebwa Tufanye tuliondoe....!

 Bado kuna DK 45 Zingine.. Nini kifanyike Kuwaokoa Hawa ndugu Zenu..! Maana ndo Wanazama Hivyo..?

Simba ipo poa tu Hata tukiyafuta Mabao 3 likabaki Moja poa tu...
 
Huoni aibu kusifia magoli ya kijinga kias hiki?mchezaji anafanyiwa faul mnaenda kufunga?
We jamaa hujui soka kabisa,endelea kufatilia dadaz,!kuna faulo gani imefanyika,sasa nikwambie ile ndo inaitwa total football,tunakusukuma ufaye makoa then tunapokonya mali fastaaa kisha inapigwa pasi ya masafa haraka sana mbele kwa jini baleke,andika notes kwa mafundi wa soka kama sisi.
 
Ni aibu kujisifia upuuzi,kulikua Kuna haja gani ya hii mechi kama marefa wamekuja na matokeo yao
Kaka umeumia sana asee,[emoji38][emoji38][emoji38]acha kuangalia kalale tu manake mpaka soka linaisha utakuwa ushapata kisukari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…