Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzuri demu ukishamla hana ugumu wowote tenaNgoja tuwasubiri tuone maana watakuwa wamesahau walipigwa nje ndani na hao RIVERS[emoji1787][emoji1787]
Wameshakimbia na kulala muda mrefu huku misonyo haiwaishi midomoni mwao🤣🤣🤣Kuna tulikuwa nao mwanzo wa uzi, ila watu siwaoni tena
adriz, Nas Mapesa, Chukwu emeka, Tate Mkuu
Basi Mkuu Hilo GOLI unalosema La Kubebwa Tufanye tuliondoe....!Uko sahihi kabisa. Ingekuwa ndiyo Yanga wamebebwa kiasi hiki; muda huu zingetawala kelele za bahasha.
Ila kwa sababu ni wao, watajifanya hawajaona kilichotokea.
Yaani unasema nne tu wakati Kuna dakika 45 zingine mkuu. Subiri kipenga Cha mwisho kaka 😄😄Ihefu sio wa kwanza kufungwa nne kwenye haya mashindano
Tukiweza kumpiga Uto....inaweza kuwa kipimo kizuri kwa Wydad ?..Walifanya promosheni kubwa na mashabiki wakajua hapa ushindi ni kuanzia bao 3
Saizi tena kwa Rivers United wamekuja na ajenda ile ile ya kisasi
We jamaa hujui soka kabisa,endelea kufatilia dadaz,!kuna faulo gani imefanyika,sasa nikwambie ile ndo inaitwa total football,tunakusukuma ufaye makoa then tunapokonya mali fastaaa kisha inapigwa pasi ya masafa haraka sana mbele kwa jini baleke,andika notes kwa mafundi wa soka kama sisi.Huoni aibu kusifia magoli ya kijinga kias hiki?mchezaji anafanyiwa faul mnaenda kufunga?
Yaani kuwafunga Ihefu amekuwa Jini 🤣........ yaani kiungo hicho namna hiyo kinavyopoteza mipira kirahisi kama watoto wa Sekondari?Confirmed Baleke sio mtu ni jini
Kaka umeumia sana asee,[emoji38][emoji38][emoji38]acha kuangalia kalale tu manake mpaka soka linaisha utakuwa ushapata kisukariNi aibu kujisifia upuuzi,kulikua Kuna haja gani ya hii mechi kama marefa wamekuja na matokeo yao
Tangu lini kumpiga mlevi kuwe kipimo cha kupigana na mwanajeshi mwenye mafunzo yake?Tukiweza kumpiga Uto....inaweza kuwa kipimo kizuri kwa Wydad ?..
Huyo Utopolo tukimpiga hata Wydad hatachomokaWazoeee hao hao Utopolo tu
Bado mpira haujaisha kuna 6 nyigine zinakujaMtoa bikra amekula 4, bado aliyetolewa bikra
Hata Uto...yupo robo fainali mkuu...Tangu lini kumpiga mlevi kuwe kipimo cha kupigana na mwanajeshi mwenye mafunzo yake?
Robo fainali gani?Hata Uto...yupo robo fainali mkuu...
Hata kipenzi changu Shadeeya simuoni, hebu Bantu Lady muite huyo mrembo kuna Jini Baleke huku linasumbua wakulima wa mpungaBantu Lady upo wapi my best? Njoo bhasi tusemezane rafiki yangu. Nimekumiss sana 😜
Yan mm nkaangalie mech ambayo tayar ihef Kala hela?mbogo maji wamelowa
japo simba bado hiki si kipimo kwetu
Robo fainali gani?