FT| ASFC: Simba SC 5-1 Ihefu SC | Azam Complex Stadium | Aprili 7, 2023

Goli alilofunga Raphael ni sawa na lile alilofunga Feisali, hata hakushangilia.

Kwasababu aliona ni ujinga yani mwenzako ana 4 we unapata 1 halafu ushangilie?

 
Nini tena, au Onyango keshafanya yake. Maana huyo jamaa hakawii
Freekick alipiga Never Tegere mpira ukamkuta Raphael akapiga kichwa likaingia goli
 
Mechi imesimama baada ya Manula kuumia
 
April 16, is just around the corner.
Msijekimbia uwanjani kama mlivyovunja viti
Mmesahau mlivyokula kona na basi lenu hadi mechi ikaahirishwa? Sisi hatuna kawaida ya kukimbia mechi.
 
Hee jamaa ndio kashindwa kabisa kuendelea kaokba sub?
 
Heparin hongera kwa updates...
 
Nyoni mbona anacheza hovyo hivi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…