FT| ASFC: Simba SC 5-1 Ihefu SC | Azam Complex Stadium | Aprili 7, 2023

FT| ASFC: Simba SC 5-1 Ihefu SC | Azam Complex Stadium | Aprili 7, 2023

Goli alilofunga Raphael ni sawa na lile alilofunga Feisali, hata hakushangilia.

Kwasababu aliona ni ujinga yani mwenzako ana 4 we unapata 1 halafu ushangilie?

1680888261737.png
 
April 16, is just around the corner.
Msijekimbia uwanjani kama mlivyovunja viti
Mmesahau mlivyokula kona na basi lenu hadi mechi ikaahirishwa? Sisi hatuna kawaida ya kukimbia mechi.
 
Hee jamaa ndio kashindwa kabisa kuendelea kaokba sub?
 
Karibu kwenye uchambuzi huu, utakuwa nami Heparin , dawa kiboko ya damu inayoganda mwilini. Twende pamoja kutoka uwanja wa Chamazi, Mbagala.

Kikosi cha Simba SC

Kikosi cha Ihefu SC

Dk 1’ Mpira umeanza
Dk 2’ Gooooooooooal, Jean Baleke. Simba wanapata bao la kuongoza
Dk 7’ Ihefu wanapata bao, mwamuzi anasema walikuwa wameotea
Dk 13’ Mwenda anapiga krosi, Baleke anapiga kichwa kinaokolewa na kuzaa kona ya 1
Dk 14’ Gooooooooal, Jean Baleke anaipa Simba goli la 2 kwa shuti kali la mguu wa Kushoto, Assit ya Kibu Denis
15’ Simba wanaendelea kuutawala Mchezo
20’ Tshabalala anakosa goli la 3, refa anapuliza filimbi kuwa kamchezea faulo kipa
21’ Simba wanafanya shambulizi la kushitukiza, mpira wa mwisho unamgonga refa shambulizi linakufa
22’ Ihefu wanashambulia, Aishi Manula anadaka
24’ Kibu Denis anapoteza mpira wa Shambulizi la Kushitukiza walilofanya Simba
26’ Saido anapiga shuti, linadakwa na kipa Shaban Kado
28’ Goooooooal, Jean Baleke anapiga hattrick
29’ Ihefu wanashambulia, mpira unatoka nje unakuwa goal kick
32’ Simba wanachezea mpira katikati ya Kiwanja, Ihefu wanautafuta kwa tochi
33’ Almanusuraaaaa, Nyoni anapiga shuti kali linalotoka nje sentimita chache
34’ Tshabalala anachezewa faulo, Simba wanaanzisha mpira
35’ Jean Baleke anatoa pasi mbaya kwa Kibu Denis, mpira unatoka nje
35’ Ihefu wanaanzisha mpira, Mabeki wa Simba wanaokoa
36’ Chama anajichanganya, ilikuwa nafasi ya wazi kwa simba
37’ Kona kwa Ihefu, Simba wanaokoa
38’ Simba wanapata faulo kwa Kusukumwa Kibu Denis
39’ Goooooooooal, Saido anaifungia Simba goli la 4
40’ Simba wanatakata, Samba Rocketo inaonekana, Boli inatembea
42’ Tshabalala anapiga krosi, kipa anadaka
43’ Robertinho anamuinua Kenedy, Inonga anatolewa nje sababu ya maumivu. Kenedy in, Inonga out
45’ Dakika 2 zimeongezwa
45+2’ Half time



46’ Kipindi cha pili kimeanza

46’ Ihefu wanashambulia lakini mpira unatoka nje. Goal kick
47’ Ihefu wanapata faulo, wanacheza, mpira unadakwa na Aishi Manula
48’ Simba wanamiliki mpira, hakuna shambulizi lolote hadi sasa
52’ Ihefu bado wanautafuta mpira kwa tochi
53’ Ihefu wanamiliki mpira, wanaupoteza tena
54’ Ihefu wanamiliki tena, walima mpunga wanatakata.
55’ Simba wanafanya shambulizi la kushitukiza, Kibu Denisi anapoteza mpira
56’ Rashid Juma wa Ihefu anapewa
Kadi ya njano kwa kumchezea rafu Mwenda Israel
58’ Ihefu wanamiliki tena mpira, wanacheza faulo sasa mpira kuchezwa kuelekea lango lao
59’ Offside Jean Bakeke
59’ Kipa wa Ihefu
anafanya mchezo wa hatari, nusu afungishe timu yake
60’ Simba wanamiliki mpira, faulo kwa Ihefu kuelekea Simba
61’
Goooooooooal, Ihefu wanapata goli kupitia Raphael Daud kwa kichwa
62’
Mkude in, Onyango out, Mohamed Mussa in
63’ Ihefu wanatawala mchezo
64’
Mwenda yellow card
66’ Simba wanakosa goli
68’ Offside, Ihefu wanaotea
69’ Ihefu wanafanya sub, Tigere out
70’ Sogne anakosa goli, Ihefu wanashambulia kwa kasi
71, Manula anaumia, yupo chini akiugulia maumivu. Madaktari wanamsaidia
74’
Manula out, Beno in. Saido out, Sakho in
78’ Yellow card, Kibu Denis
Heparin hongera kwa updates...
 
Back
Top Bottom