FT: ASFC|Simba SC 8-0 Eagles|B.Mkapa Stadium

FT: ASFC|Simba SC 8-0 Eagles|B.Mkapa Stadium

Timu ya mhindi wa bombay inakwenda kucheza na timu inayoshiriki ligi ya mkoa inaweka kikosi full mkoko kina chama, phiri lakini wenzao wanawaonyesha utofauti wa ubora wa kikosi walichonacho wanacheza na timu inayocheza first league wanawawekea kina mzize ndiye anayewajibu kwa hat trick uku wachezaji 9 wa kikosi cha kwanza wakiwa awapo ata kwenye sub
 
Back
Top Bottom