changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Kuna kitendo cha utovu wa nidhamu alikifanya kwenye mechi dhidi ya Dodoma jiji.Sijajua kwanini Morrison hayupo na hakucheza South Africa... Anyway, Goodluck wananchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kitendo cha utovu wa nidhamu alikifanya kwenye mechi dhidi ya Dodoma jiji.Sijajua kwanini Morrison hayupo na hakucheza South Africa... Anyway, Goodluck wananchi
Naiweka tu sawa.....Yanga ni mwakilishi pekee kutoka Africa mashariki, kati, kusini na kaskazini.Timu pekee Africa mashariki na kati kwenye fainali CAFCC[emoji6],kila lenye kheri [emoji172][emoji172][emoji172]
Kalaga bhahoUndugunization football game
Pendekeza ungeanzishiwa wapi.Hii mechi nayo ni ya kuanzishiwa uzi hapa?
[emoji23][emoji23] aiseeUndugunization football game
Uzi haucheziMmekosa kazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
UZI UMEPOA KAMA KOMWE LA ALI KAMWE
USM ALGER BINGWA MTARAJIWA
Hakuna haja ya kuanzisha popote palePendekeza ungeanzishiwa wapi.
NdioUyu m brazili ana jitutumua ana taka tumsajiri nini
Nani katupiaSingida BS 0 Yanga SC 0