mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,682
- 10,801
Nin kinaendelea kwani mkuuHalafu eti kuna watu wanataka kutuaminisha wanajali sana upangaji wa matokeo. Nini hiki kinaendelea uwanjani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nin kinaendelea kwani mkuuHalafu eti kuna watu wanataka kutuaminisha wanajali sana upangaji wa matokeo. Nini hiki kinaendelea uwanjani?
Yes dogo anapiga pombe za bei rahisiHa kweli hayo?
Wanataka kumtoa mkopo mana ale yanga hana wa kumuweka benchiJamaa anajua sijajua kwanini nasreddine Nabi hampi nafasi
Upuuzi tu unaendelea kuanzia mtangazaji mwenyewe hadi vituko vya uwanjaniNin kinaendelea kwani mkuu
Uwanjani kuna vituko gani?Upuuzi tu unaendelea kuanzia mtangazaji mwenyewe hadi vituko vya uwanjani
Mtangazaji kafanyeje?Upuuzi tu unaendelea kuanzia mtangazaji mwenyewe hadi vituko vya uwanjani
Wanaazimana mpaka makocha.Au Tungesubiri ya Simba na Kosto yunioni ? [emoji848]
Punguza wenge, umeandikiwa hapo kabisa matokeo ni 0-0 halafu unauliza nani katupia? Ametupia nini sasa au hiyo 0?Nani katupia
Sawa kiongozi [emoji172]Naiweka tu sawa.....Yanga ni mwakilishi pekee kutoka Africa mashariki, kati, kusini na kaskazini.
Maan wale waarabu 3 ni wa Africa magharibi
Sisi haoo,na tutawashangaza[emoji23]Afrika nzima wanatutegemea [emoji28]
Sema kwenye loser cupTimu pekee Africa mashariki na kati kwenye fainali CAFCC[emoji6],kila lenye kheri [emoji172][emoji172][emoji172]